Wednesday, May 8, 2013

ZITTO KABWE AMPA USHAURI LADY JAYDEE, NI KUHUSU BIFU LA JIDE NA CLOUDS





Mgogoro kati ya Lady JayDee a.k.a Anaconda na uongozi wa Clouds Media Group bado ni issue, mengi yameshazungumzwa lakini kuna tweet moja ambayo mh. Zitto Kabwe ameona inafaa zaidi kuleta mabadiliko katika mzozo huo. 
Zitto aliirudia Tweet ya Absalom Kibanda ya May 5 iliyosemeka. 
“An Iron Lady! Turn back and forgive. There’s power behind forgiveness” 
Lady JayDee nae akamjibu: 
@absakibanda Nakuelewa sana brother 
Tweet ya Absalom ilimvutia zaidi Zitto Kabwe ambae aliandika:

“This tweet will surely bring peace. Watch “@absakibanda: @JideJaydee An Iron Lady! Turn back and forgive. There's power behind forgiveness” 

Na akasisitiza zaidi na kusema hili ni neno la Busara:

“+1 in these words of deep wisdom “@absakibanda: @JideJaydee An Iron Lady! Turn back and forgive. There's power behind forgiveness”



Tags:

0 Responses to “ZITTO KABWE AMPA USHAURI LADY JAYDEE, NI KUHUSU BIFU LA JIDE NA CLOUDS ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI