Monday, June 10, 2013
BREAK NEWS: MBUNGE WA MTWARA MJINI ARUDI LUMANDE HADI TAREHE 12 /06/2013
Monday, June 10, 2013 by Unknown
Mbunge wa Mtwara Mjini ndg Murji amerejeshwa rumande mara baada ya kukosa kutimiza masharti ya dhamani iliyo tolewa na Mahakama. Kesi hiyo itasikilizwa tena tarehe 12/06/2013.
Mbunge huyo alikamatwa usiku wa Jumamosi tarehe 8/06/2013 kwa kosa la kuhusika na Uchochezi katika Vurugu zilizotokea Mkoani humo hivi karibuni.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BREAK NEWS: MBUNGE WA MTWARA MJINI ARUDI LUMANDE HADI TAREHE 12 /06/2013 ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.