Home
» kitaifa
» BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA CHUMA ROAD, MWENDESHA BODABODA AFARIKI PAPO HAPO. TAZAMA PICHA
Tuesday, June 11, 2013
BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA CHUMA ROAD, MWENDESHA BODABODA AFARIKI PAPO HAPO. TAZAMA PICHA
Tuesday, June 11, 2013 by Unknown
Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka! Na Simba plastiki
Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi roar na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki,na asilimia mia dereva kafanya dharau saaana,maana alipinda gari ikiwa kwenye speed kubwa sana
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Tags:
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 Responses to “BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA CHUMA ROAD, MWENDESHA BODABODA AFARIKI PAPO HAPO. TAZAMA PICHA ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.