Home
» burudani
» HIKI NDO KILICHOJIRI KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA - MAJANGA NDANI YA MAISHA CLUB. TAZAMA PICHA
Monday, June 10, 2013
HIKI NDO KILICHOJIRI KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA - MAJANGA NDANI YA MAISHA CLUB. TAZAMA PICHA
Monday, June 10, 2013 by Unknown
SHOO ya uzinduzi wa video ya wimbo wa ‘Majanga’ wa msanii wa kizazi kipya, Snura Mushi, usiku wa kuamkia leo ilifana vilivyo ndani ya New Maisha Club kwa kuonyesha uwezo wa majanga yake katika kuzungusha nyonga. Shoo hiyo ilisindikizwa na wanamuziki Tunda Man, Ally Nipishe, Ally Baucha, Menina, Samir na Sharo Swagger.
Habari/Picha: Musa Mateja/GPLTOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Tags:
burudani

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “HIKI NDO KILICHOJIRI KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA - MAJANGA NDANI YA MAISHA CLUB. TAZAMA PICHA ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.