Home
» udaku
» JACK WOLPER ADAI KUWA ANAPENDA KUTEMBEA NA "SERENGETI BOYS" KWA SABABU WANAYAJUA MAPENZI UKILINGANISHA NA WATU WAZIMA WENYE PESA ZAO
Saturday, June 29, 2013
JACK WOLPER ADAI KUWA ANAPENDA KUTEMBEA NA "SERENGETI BOYS" KWA SABABU WANAYAJUA MAPENZI UKILINGANISHA NA WATU WAZIMA WENYE PESA ZAO
Saturday, June 29, 2013 by Unknown
Nyota wa tasnia ya filamu , Jaqueline Wolper ‘Wolper Gambe’ amedai kuwa hawapendi sana wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za watu...
Wolper anadai kuwa nao si rahisi kuonyeshwa mapenzi yao ya dhati kwani mapenzi yao ni ya chumbani tu...
" Unajua unapokuwa na mtu mwenye fedha zake , alafu mtu mzima, ni lazmia ukose penzi la kweli kwani mapenzi yenu ni chumbani tu, hamuwezi kutembea pamoja kukaa kama vile ni wapenzi ...
"Lakini ukiwa na kijana ambaye hana pesa na wewe una kazi lazima akuonyeshe jinsi mapenzi yalivyo kwa kukuweka karibu kimahaba na wewe ukafaidi penzi kutoka kwake..
“Wanaume wengi wenye pesa zao huniona nina dharau, lakini mimi ni binadamu nahitaji haki yangu kama mwanamke .
"Kuna watu wanaamini pesa zao ndio kila kitu, kiukweli kwangu siyo hivyo , ukileta mapenzi hayo lazima unione nina dharau”,anasema Wolper Gambe.
Wolper anadai kuwa kuna watu ambao huwanyooshea vidole wasanii maarufu kama yeye kwa kuwaona kama vile ni Malaya lakini wanasahau kama nao ni binadamu na wanaroho kama wanadamu wengine....
Jack Wolper anasema wao si malaika , wanapenda na kupendwa, kwa hiyo ukimuona ana kijana Serengeti boy ujue ni kwa ajili ya kupata penzi nzito na kusikilizwa haja zake.
Tags:
celebrities ,
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “JACK WOLPER ADAI KUWA ANAPENDA KUTEMBEA NA "SERENGETI BOYS" KWA SABABU WANAYAJUA MAPENZI UKILINGANISHA NA WATU WAZIMA WENYE PESA ZAO ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.