Saturday, June 15, 2013

Kama Bado.. Basi Mtizame Miss Tanzania Aliepiga Picha Za Uchi!!




Haikuweza kufahamika mara moja za sababu za yeye kupiga picha hizo na jitihada za kumtafuta zinaendelea ili aweze kuzifungukia
Miss Dar Indian Ocean ambaye ni 
Miss Kinondoni namba 2 mwaka jana, Diana Hussein (pichani) hivi karibuni
amejikuta akipata aibu baada ya picha yake ya utupu kuvuja, Amani 
linayo kibindoni.

Picha hiyo inayomuonesha Diana akiwa matiti nje, imesambaa kwenye mtandao wa simu wa BBM huku baadhi ya watu ‘wakifoadiana’. 


Baadhi ya marafiki wa mrembo huyo walisema kuwa wameshangaa kuiona picha hiyo kwani kwa wanavyomjua hawakutarajia.

Akiizungumzia picha hiyo, Diana alisema aliipiga kwa matumizi yake binafsi ila akashangaa kuona imesambaa mtandaoni.
Wakati Diana akiteswa na skendo 
hiyo, Miss Rukwa namba 3 mwaka jana, Vency Edward naye amefuata mkumbo 
baada ya picha zake za utupu kunaswa.

Picha hizo kama ilivyo kwa Diana, 
zimezagaa kwenye mtandao wa BBM na zinamuonesha ameshusha gauni lake 
hadi kiunoni na kuliacha eneo la juu wazi
credit Globalpublishers
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “Kama Bado.. Basi Mtizame Miss Tanzania Aliepiga Picha Za Uchi!!”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI