Sunday, June 16, 2013
Kijana Mmoja Akutwa Amekufa Katika Nyumba Inayojengwa, Kigogo, Dar
Sunday, June 16, 2013 by Unknown
Mwili ukiwa eneo la tukio.
Ukiwa umefunikwa.
Mashuhuda wa tukio hilo.
Kijana mmoja aliyefahamika wa kwa jina la Kobero, leo asubuhi amekutwa akiwa amekufa kwenye chumba kimoja cha nyumba ambayo ilikuwa haijamalizika kujengwa maeneo ya Kigogo Luhanga jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, marehemu alikutwa na chupa iliyokuwa na masalia ya pombe haramu aina ya gongo. Mpaka mwandishi wetu anaondoka eneo la tukio askari polisi walikuwa bado hawajafika kwa ajili ya kuuchukua mwili na kuanza upelelezi wa tukio hilo.
Tags:
kitaifa ,
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “Kijana Mmoja Akutwa Amekufa Katika Nyumba Inayojengwa, Kigogo, Dar ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.