Thursday, June 13, 2013

Lwakatare Aitisha Press Conference Makao Makuu Chadema.



Leo majira saa 4 asubuhi bwana Lwakatare ambae ni mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA atakuwa na mazungumzo na waandishi wa habari, ajenda ikiwa kuhusiana na sakata zima la kesi yake...Tunasubiri kwa hamu kusikia atakacho sema.

Tags: ,

0 Responses to “Lwakatare Aitisha Press Conference Makao Makuu Chadema. ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI