Sunday, June 9, 2013

PHOTOS: Mastaa walivyofurika kwenye birthday party ya Vanessa Mdee





Shaa
Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji
Vanessa na mdogo wake
Vanessa Mdee na B12
Izzo B, Mima, B12, Quick Rocka
Weusi G Nako na Joh Makini
Izzo B akimkaba kiutani producer Master J
Ommy Dimpoz akitumbuiza
Vanessa Mdee na Linah
Mastaa wa kumwaga walikua miongoni mwa wageni takriban 100 walioalikwa kwenye birtday party ya Vanessa Mdee. Pamoja na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Vanessa pia aliitumia fursa hiyo kujipongeza kwa kutajwa kuwania Kili Awards mwaka 2013, zinazofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Baadhi ya wasanii na watu mashuhuri walioalikwa kwenye party hiyo ni Izzo B, Weusi, Mwana FA, AY, Shaa, Master Jay, Salama Jabir, Marco Chali, Quick Rocka, Lina, Ommy Dimpoz, producer Master J. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linah, Izzo B, Shaa, Ommy Dimpoz, G-Nako, The Trio na birthday girl mwenyewe Vanessa.

Tags:

0 Responses to “PHOTOS: Mastaa walivyofurika kwenye birthday party ya Vanessa Mdee ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI