Friday, June 14, 2013

PICHA: CHECK REHEARSAL NIGHT YA SHOW YA MWANAFA … “THE FINEST”


Jana usiku, mazoezi ya show yalikuwa yakiendelea katika ukumbi wa NATIONAL MUSEUM sehemu ambayo MwanaFA‘s show ya THE FINEST itafanyikia … At our presence, band nzima yaKILIMANJARO (Wananjanje), MwanaFA, Mandojo & Domokaya, Ben Pol, Dully Sykes, Linah, Maua na wengineo walikuwa wanajiandaa vyema kwa ajili ya Corporate Hip-Hop show hiyo itakayofanyika leo kuanzia saa 3 usiku …
Tazama baadhi ya picha zikiwaonesha wasanii hawa katika rehearsal hiyo ;
Mzee Moddy with his Guitar !
The show is happening tonite!!!! Kama bado hujakamata ticket yako … Huu ndio wakati … See y’all There …#TheFinestTOA MAONI YAKO HAPA

Tags:

0 Responses to “PICHA: CHECK REHEARSAL NIGHT YA SHOW YA MWANAFA … “THE FINEST” ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI