Saturday, June 15, 2013
picha: za Ajali ya Gari iliyosababishwa na msanii Masele.Aka Chapombe
Saturday, June 15, 2013 by Unknown
Masele cha pombe jana mchana zilisambaa habari kwamba amepata ajali ya gari la amefariki dunia. Jibu sio kweli na ishu nzima ni kwamba alipata ajali akiwa barabara ya 14 Tanga baada ya kumgonga mtu mmoja. Akiwa katika harakati za kupaki gari na kushuka, wananchi walianza kumshambuli kwa mawe ndipo hapo Masele alipojaribu kuokoa maisha yake kwa kuwasha gari na kuanza kukimbia, bahati mbaya baada ya hapo akamgonga mtu mwingine bahati mbaya ndipo watu wakalikuta gari lake na kuanza kulipoga mawe na wengine kuchoma visu matairi ya gali hilo. Chanzo kilichotutumia habari hii kinaendelea kusema kwamba hadi Masele mwenyewe ameibiwa hela zake pamoja na simu yake ya mkononi. Lakini hivi sasa yupo mzima kabisa
Picha zaidi hapa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “picha: za Ajali ya Gari iliyosababishwa na msanii Masele.Aka Chapombe”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.