Thursday, June 13, 2013
Tamasha la filamu la Grand Malt Tanzania kufanyika jijini Mwanza
Thursday, June 13, 2013 by Unknown
Meneja wa kinywaji cha Grand Malt, Consolata Adam akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’ mwaka huu ambalo linatarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Sahara jijini Mwanza.Kushoto ni Mratibu wa Tamasha hilo,Mussa Kisoky na kulia ni Meneja Habari na Mahusiano wa TBL,Edith Mushi.
Mratibu wa Tamasha Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’,Mussa Kisoky akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) namna alivyojiandaa na Tamasha hilo ambalo Mwaka huu litafanyika jijini Mwanza.
Msanii wa Filamu kutoka Bongo Movie,Jacob Steven (kati) akizungumza na vyombo vya habari juu ya Tamasha hilo huku akiwataka wananchi wa jiji la Mwanza kujitokeza kwa wingi.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 Responses to “Tamasha la filamu la Grand Malt Tanzania kufanyika jijini Mwanza ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.