Tuesday, June 11, 2013

TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA MAZISHI YA KASH MSANII

Waigizaji na wadau mbalimbali leo wamekusanyika kwenye mazishi ya muigizaji wa filamu nchini, Kashi aliyefariki wiki hii. Mazishi hayo yamefanyika kwene makaburi ya Kinondoni Muslim.
Ustaadh akiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim
Jacqueline Wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi
Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi
Kitale na wasanii wenzake
Msanii wa bongo movie Big
Msanii wa movie akilia kwa uchungu
Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi
Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake leo nyumbani kwa marehemu Kashi.
Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na manager wake.
Mwigizaji wa TamdhiLia ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazishi leo.
Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim
Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia
Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi
Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba
Shughuli ya mazishi inaendelea
Wamama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.
Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi leo
Wadau mbalimbali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim
Wasanii wa movie Tanzania kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo
Wasanii wa movie wakijadili jambo nyumbani kwa marehemu Kashi

HABARI HII IMETOLEWA BONGO5.COMTOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA MAZISHI YA KASH MSANII ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI