Home
» udaku
» Unyama huu utaisha lini nchi hii??Mtoto mchanga atupwa leo eneo la Magomeni jijini Dar
Thursday, June 13, 2013
Unyama huu utaisha lini nchi hii??Mtoto mchanga atupwa leo eneo la Magomeni jijini Dar
Thursday, June 13, 2013 by Unknown
Wakazi wa eneo la Magomeni zilipovunjwa nyumba za kota jijini Dar es salaam wakishuhudia mtoto mchanga anayekadiliwa kuwa umri wa siku moja akiwa kwenye mfuko na kutupwa na mtu asiejulikana.
Askari Polisi wa kituo cha Magomeni Usalama wakiwa katika eneo hilo ambalo alitupwa mtoto mchanga akiwa amekufa kwa ajili ya kumchukua kumpeleka sehemu husika
Mwili wa Mtoto huyo ukiwa ndani ya gari la Polisi tayari kwa safari ya kwenye sehemu husika.
Wakazi wa maeneo ya jirani na hapo na wale wapita njia wakiwa katika eneo la tukuo.Picha na Mdau Philemon.
Copyright: Mtaa Kwa Mtaa Blog

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 Responses to “Unyama huu utaisha lini nchi hii??Mtoto mchanga atupwa leo eneo la Magomeni jijini Dar ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.