Home
» siasa
» UPDATE: LWAKATARE AKWAMA KUPEWA DHAMANA TENA....HAKIMU ALIKUWA HAJAYAPITIA MAFAILI YAKE
Monday, June 10, 2013
UPDATE: LWAKATARE AKWAMA KUPEWA DHAMANA TENA....HAKIMU ALIKUWA HAJAYAPITIA MAFAILI YAKE
Monday, June 10, 2013 by Unknown
Lwakatare (kulia) na mtuhumiwa mwenzake Ludovick wakiwa mahakamani leo.
Baadhi ya wanachadema waliofika mahakamani leo.
Lwakatare akifunguliwa pingu.
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi Lwakatare, kwa mara nyingine ameshindwa kuwekewa dhamana leo katika kesi inayomkabili ya kujaribu kumwekea sumu Dennis Msaki iliyosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisuru jijini Dar es Salaam.
Sababu za kuahirishwa kesi hiyo ni madai ya hakimu kuwa hakuweza kupata muda wa kupitia mafaili ya kesi hiyo maana alikuwa likizo. Lwakatare amerudishwa Segerea na kesi yake imetajwa kurudishwa mahakamani kesho asubuhi (Juni 11 mwaka huu).
Tags:
kitaifa ,
siasa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 Responses to “UPDATE: LWAKATARE AKWAMA KUPEWA DHAMANA TENA....HAKIMU ALIKUWA HAJAYAPITIA MAFAILI YAKE ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.