Home
» siasa
» VIDEO YA MWIGULU AKIDAI KUWA CHADEMA NI WAUAJI NA AMEKIRI KUHUSIKA NA VIDEO YA LWAKATARE
Monday, June 10, 2013
VIDEO YA MWIGULU AKIDAI KUWA CHADEMA NI WAUAJI NA AMEKIRI KUHUSIKA NA VIDEO YA LWAKATARE
Monday, June 10, 2013 by Unknown
ASEMA CHADEMA WANAVIPAJI VYA KUSEMA UWONGO
ABAINISHA KUWA YEYE NDIYO ALIYETOA VITENDEA KAZI KWENYE VIDEO INAYODAIWA YA UGAIDI YA LWAKATARE
ANUKULIWA “CHADEMA NI CHAMA CHA WAUAJI MPAKA SASA WAMEUWA WATU ZAIDI YA WANANE”
MUSA, MHANGA WA TUKIO LA KUMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AMUUNGA MKONO.
Angalia video ambayo inamuonyesha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba akinadi chama chake kwenye kampeni za udiwani Arusha zikiwa zimebaki siku 6 tu kabla ya uchaguzi.
SOURCE: MEDIA 2 SOLUTION

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “VIDEO YA MWIGULU AKIDAI KUWA CHADEMA NI WAUAJI NA AMEKIRI KUHUSIKA NA VIDEO YA LWAKATARE ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.