Monday, July 1, 2013

GOOD NEWSSSS: Bakhresa Kuja Na King'amuzi Chake!! Malipo Kwa Manunuzi Ni 30.000tsh Na Kwa Mwezi Ni Shilingi Elfu Mbili


Kwa taarifa tulizopata ambazo siyo rasmi zinasema kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi.Ina channel 100+. Mwenye habari zaidi atujuze.

Lisemwalo lipo kama halipo linakuja

Tags: ,

0 Responses to “GOOD NEWSSSS: Bakhresa Kuja Na King'amuzi Chake!! Malipo Kwa Manunuzi Ni 30.000tsh Na Kwa Mwezi Ni Shilingi Elfu Mbili”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI