Saturday, July 13, 2013
Picha aliyopost Prezzo na maneno aliyoandika
Saturday, July 13, 2013 by Unknown
.
Bonyeza readmore kuona kila kitu mtu wangu…
.
Nafahamu Rapper CMB Prezzo alishawahi kuwa kwenye ndoa na kupata mtoto mmoja ila hiyo ndoa ilivunjika baadae kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ambayo naikumbuka AMB aliiambia millardayo.com kwamba mke wake hakuwa na asilimia 100 ya support kwa kazi ya muziki anaoufanya Prezzo.
Kwa kipindi chote hicho Prezzo amekua kwenye headlines za kuwa na Warembo kadhaa kutoka Kenya na nje ya Kenya ambapo mwishoni mwishoni alikuja kuongea na Millard Ayo na kusema alikua na mipango ya kumuoa Mnigeria Goldie waliekutana Big Brother Afrika lakini mipango haikwenda sawa kwa sababu Goldie alifariki dunia.
Huu ukiwa ni mwezi wa tano toka Goldie afariki dunia, Prezzo ametoa picha ya chumba cha kulala ambayo inaashiria ni nyumbani kwake ambapo picha hiyo imeambatana na msg kwamba…. ‘kitu pekee kinachokosekana ni mke’
MILLARD AYO.COM -SOURCE.
Tags:
celebrities ,
udaku
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Picha aliyopost Prezzo na maneno aliyoandika ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.