Tuesday, July 2, 2013

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI, RAIS MSTAAFU WA MAREKANI GEORGE W. BUSH NA MKEWE LAURA NA MKE WA TONY BLAIR WAHUDHURIA LEO DAR






Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. 
Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano 
wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya 
Serena jijini Dar es salaam.




Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika 
Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.




Wageni
wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa 
marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya Serena 
jijini Dar es salaam.

PICHA NA IKULU

Tags: ,

0 Responses to “RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI, RAIS MSTAAFU WA MAREKANI GEORGE W. BUSH NA MKEWE LAURA NA MKE WA TONY BLAIR WAHUDHURIA LEO DAR ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI