Home
» kimataifa
» BAADA YA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA KUWAKA MOTO, ABIRIA WAMEPELEKWA HOTELINI NA NDEGE ZITATUA UWANJA WA MOI
Wednesday, August 7, 2013
BAADA YA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA KUWAKA MOTO, ABIRIA WAMEPELEKWA HOTELINI NA NDEGE ZITATUA UWANJA WA MOI
Wednesday, August 7, 2013 by Unknown
Habari zinasema kwamba baada ya saa tatu za ku pambana na janga hilo, hatimaye moto huo umeweza kudhibitiwa na hakuna mtu aliyeripotiwa kudhurika.
Abiria waliokuwa wanasafiri wamepelekwa mahotelini na ndege zilizokuwa zitue JKIA zimeelekezwa kutua uwanja wa kimataifa wa Moi, Mombasa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BAADA YA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA KUWAKA MOTO, ABIRIA WAMEPELEKWA HOTELINI NA NDEGE ZITATUA UWANJA WA MOI ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.