Home
» celebrities
» DIAMOND NOMA SANA: ONA ALICHOKIFANYA SOUTH AFRICA ALAFU MSEME DIAMOND ANALOGA-HARD WORK PAYS BWANA
Wednesday, August 7, 2013
DIAMOND NOMA SANA: ONA ALICHOKIFANYA SOUTH AFRICA ALAFU MSEME DIAMOND ANALOGA-HARD WORK PAYS BWANA
Wednesday, August 7, 2013 by Unknown

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.
Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri
Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda international zaidi.
Picha: Babutale (Instagram)
Source:Bongo5

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “DIAMOND NOMA SANA: ONA ALICHOKIFANYA SOUTH AFRICA ALAFU MSEME DIAMOND ANALOGA-HARD WORK PAYS BWANA ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.