Tuesday, August 13, 2013

DIVA LOVENESS" MTU AKISEMA MIMI RAFIKI AKE ANAJIDANGANYA, MIE HUWA NACHORA TU WATU"



Maneno ya Diva aliyoandika haya hapa:

"Just Saying… maana hawa hawa wanaozunguka wenzao na kujifanya wanajali ndio wanafiki na wambea hatari. nashukuru Mungu sinaga rafiki hata wakumpa siri zangu maana …… na kiukweli mtu akisema mie rafiki yake anajidanganya. mie huwa nachora tu watu hata sometimes nikiwa naongea nao, very selective. na Mpaka dakika hii miaka 4 sasa sinaga so called rafiki kibongobongo. no new friends. i ‘m always into My highschool buddies yaani. so know your Options and make the right choice"

Tags: ,

0 Responses to “DIVA LOVENESS" MTU AKISEMA MIMI RAFIKI AKE ANAJIDANGANYA, MIE HUWA NACHORA TU WATU" ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI