Tuesday, August 13, 2013

PICHA HIZI ZA DIVA ZAZUA GUMZO,WENGI WADAI ANATAFUTA SOKO "GOLD GIGGER"


Loveness Diva sasa kaamua kuyapromote mapaja yake baada ya kuchoka kumpaisha mpenzi wake.....
Kupitia account yake ya instagram, jana Diva alitupia picha ya paja lake na kuwaacha mashabiki wake wafunguke kama paja lake ni zuri au baya....


Chanzo

Tags: ,

0 Responses to “PICHA HIZI ZA DIVA ZAZUA GUMZO,WENGI WADAI ANATAFUTA SOKO "GOLD GIGGER" ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI