Wednesday, August 7, 2013
VIDEO:MWANAUME APOTELEWA NA NYETI, YARUDI NDOGO NA ISIYOKUWA NA NGUVU
Wednesday, August 7, 2013 by Unknown
Akizungumza na paparazi wetu, Elias alisema siku ya tukio alipewa sigara na kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Saleh Mtima alipomaliza kuvuta alianza kuhisi baridi kali ghafla akajishtukia uume haupo amebaki ‘flat’.
Baada ya hapo alikaa siku tatu bila uume kurudi ndipo akaamua kwenda kumueleza na kumuomba ushauri mzee mmoja anayeheshimika sana eneo hilo anayejulikana kwa jina la Mfinanga Kishegwe akamweleza kuwa kilichompata ni mashetani ila uume utarudi.
“Baada ya kusubiri kwa siku tatu nilienda kuomba ushauri kwa mzee Mfinanga ambaye aliniambia utarudi na baada ya muda kweli ulirudi lakini ulikuwa mdogo kama wa mtoto na haukuwa na nguvu jambo ambalo limepelekea pale mtaani ninapoishi kila nikipita watu wananizomea na kuniita mwanamke,”alisema Elias.
(Habari/Picha/Video : Na Gladness Mallya / GPL)
ANGALIA VIDEO HAPA:

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “VIDEO:MWANAUME APOTELEWA NA NYETI, YARUDI NDOGO NA ISIYOKUWA NA NGUVU”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.