Thursday, September 26, 2013

JOHARI WA BONGO MOVIE ASEMA "SIWEZI KUPIMA UKIMWI HATA KWA MTUTU WA BUNDUKI AU NIFUNGWE MINYORORO SITHUBUTU NG'OO! "




STAA wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa 
hana mpango wa kupima ‘ngoma’ kama ilivyoripotiwa katika baadhi ya 
vyombo vya habari.

Akiongea na paparazi wetu, Johari alisema hakufurahishwa sana na 
taarifa hizo za kupima ugonjwa huo na kusema ukweli ni kwamba yeye 
hajawahi na wala hana mpango wa kupima hata akifungwa minyororo.

“Nachukia sana watu kusema kuwa eti tunapimisha watu Ukimwi, nahisi 
kuna mtu anataka kunichafulia tu. Sisi wote hapa RJ hatujapima Ukimwi 
wala hatuna mpango wa kufanya hivyo,” alisema Johari.

Tags:

0 Responses to “JOHARI WA BONGO MOVIE ASEMA "SIWEZI KUPIMA UKIMWI HATA KWA MTUTU WA BUNDUKI AU NIFUNGWE MINYORORO SITHUBUTU NG'OO! "”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI