Thursday, February 27, 2014
ANGALIA VIDEO IKIELEZEA TUKIO ZIMA LA ULAWITI MBEZI BEACH
Thursday, February 27, 2014 by Unknown
EEH Mungu! Unaweza kukataa lakini ni ukweli kwamba dunia imekwisha! Mambo yanayotendeka kila kukicha juu ya ardhi yanathibitisha hilo.
Mfanyabiashara maarufu wa magari jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina la Juvenali amekumbwa na aibu ya mwaka baada ya kunaswa mtupu chumbani na mmoja wa wabunifu wa mavazi ‘modo’ maarufu Bongo(jina tunalihifadhi kwa sasa kwa sababu za kimaadili).
Tukio hilo la aibu lilimkuta mfanyabiashara huyo nyumbani kwake, Mbezi ya Tangi-Bovu jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo wawili hao walinaswa chumbani wakiwa watupu katika mtego maalum.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI:
VIDEO KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS
Tags:
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “ANGALIA VIDEO IKIELEZEA TUKIO ZIMA LA ULAWITI MBEZI BEACH”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.