Wednesday, February 26, 2014

HATARI:KAJALI ALISHWA SUMU, AKIMBIZWA HOSPITALINI



Mwanadada mwigizaji Kajala juzi alikumbwa na dhahama ya kusikitisha baada ya kulishwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni sumu alipokuwa kwenye show ya msanii wa muziki kizazi kipya Izzo Businesshuko.

Akielezea Zaidi kajala alisema…

‘’Jana (juzi) nilivyokuwa kwenye shoo ya izzo ghafla nikaanza kuumwa nikapelekwa home halafu nikaenda hospitali. Nilivyo pimwa nikakutwa nimekunywa kitu chenye sumu lakini namshukuru mungu naendelea vizuri asante mungu kwa kila jambo...

Hali ya kajala ni nzuri na ameruhusiwa kutoka hospitalini sasa. Pole sana Kajala

Tags:

0 Responses to “HATARI:KAJALI ALISHWA SUMU, AKIMBIZWA HOSPITALINI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI