Wednesday, February 26, 2014
JE ULISHAWAHI KUWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU ALIYEKOSEA NUMBER YA SIMU?
Wednesday, February 26, 2014 by Unknown
Kwa kawaida binadamu tumekuwa tukiingia kwenye mahusiano ya kimapenzi katika mazingira tofauti tofauti mfano kwenye daladala,kwenye mkusanyiko wa sherehe,kwenye mazingira ya kutafuta elimu n.k.
Nia na madhumuni kutaka kufahamu je ushawahi kuwa na mahusiano na mvulana/msichana aliekosea namba kwenye simu yako ?
Na kama ushawahi je mahusiano yenu bado yapo hai au mmekwisha achana na mwenzi wako ?
Karibuni wadau tuweze ku share experience
Tags:

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “JE ULISHAWAHI KUWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU ALIYEKOSEA NUMBER YA SIMU?”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.