Saturday, February 22, 2014

SHILOLE AWASHANGAA WASICHANA WASIOPENDA KUVAA KUFULI



Msanii Shilole
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za ndani ‘makufuli’.

Akistorisha na paparazi wetu, Shilole alisema katika maisha yake anapenda sana kujisitiri kwa kuvaa chupi

hivyo anawashangaa wasanii wanaotembea bila kuvaa nguo hiyo huku wengine wakidai wakizivaa wanahisi kuwashwa kwa joto.

“Napenda sana kuvaa ‘kufuli’ na huwa ninapata shida sana kutokana na wasichana tena mastaa ambao hawavai eti wana aleji nazo, unajua mwanamke lazima ujisitiri, siwezi kutoka nyumbani bila kuvaa nguo ya ndani

Tags:

0 Responses to “SHILOLE AWASHANGAA WASICHANA WASIOPENDA KUVAA KUFULI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI