Thursday, February 20, 2014

UGANDA YAPIGA MARUFUKU UVAAJI WA VIMINI NA MAVAZI YA NUSU UCHI ATAKAYE KUTWA FAINI JELA MIAKA 10



Rais wa Uganda Yoweri Musen Amesign Mswada wa kuzuia wanawake kuvaa nguo fupi zijulikanazo kama vimini ama nguo zozote za nusu uchi, Kuanzia sasa mtu yoypte atakaye kutwa amevaa hivyo atachukuliwa sheria ikiwemo adhabu ya kufungwa jela miaka 10 mpaka 15 ...Je unaonaje na kwetu Tz ikiletwa Adhabu Hii Maana daaaa Kumezidi?/

Tags:

0 Responses to “UGANDA YAPIGA MARUFUKU UVAAJI WA VIMINI NA MAVAZI YA NUSU UCHI ATAKAYE KUTWA FAINI JELA MIAKA 10”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI