Sunday, February 9, 2014

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?


Leo nimekutana na kali ya kufungua mwaka. Kwa muda mrefu tu tumekuwa tukiwasiliana na kuchat kiasi cha kuzoeana na msichana fulani hivi lakini hatukuwahi kuonana. Sasa tukapanga tuonane siku ya leo. Nikamshtua mtrotro mapema leo, nikamwambia aje pande za huku kwetu. Mida ya flani jioni nikawasili maeneo ya kituoni hapa, nikamkuta ananisubiri. Kumuona mtrotro mashallah.. Kiukweli mimi sijajaliwa sura yenye mvuto na kimuonekano pia ni wa kawaida tu. Nikaenda nae maeneo tukapiga story 2.. 3.. Then nikamuingiza majaribuni, nikamuomba tuzini. Cha kushangaza akakubali wakati ndo kwanza tumeonana leo. Nikajilia vyangu kiulainiii, nikamsindikiza. Nikarudi home na viulizo..!! Huyu binti yuko sawa kweli au ndo wale wa buguruni..!!? Au ni kawaida tu, kwamba inawezekana sex at first sigh

Tags:

0 Responses to “WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI