Monday, March 24, 2014

LULU AAMUA KUACHIA 90% YA MWILI WAKE UONEKANE KATIKA UKURASA WA MBELE WA GAZETI. TAZAMA PICHA HAPA




Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine sasa ni wakati wa elizabeth michael “lulu”.






Lulu ameamua kufunguka kuhusu mambo mengi yanayoendele katika maisha yake na unachotakiwa kufanya ni kusubiri visiku vichache kabla vibe magazine halijadondoka mtaani kwako.

Tags:

0 Responses to “LULU AAMUA KUACHIA 90% YA MWILI WAKE UONEKANE KATIKA UKURASA WA MBELE WA GAZETI. TAZAMA PICHA HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI