Home
» siasa
» OLE SENDEKA AMSIFIA TUNDU LISSU BUNGENI..AMSHAURI RAIS JK AMPE UWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
Saturday, March 8, 2014
OLE SENDEKA AMSIFIA TUNDU LISSU BUNGENI..AMSHAURI RAIS JK AMPE UWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
Saturday, March 8, 2014 by Unknown
Wadau ole sendeka amemsifu mh tundu lissu kwa uwezo aliounyesha kwenye haya masuala ya kikanuni bungeni. Ameenda mbali zaidi kwa kumshauri rais Jakaya Kikwete ampe uwaziri wa sheria na katiba!
Uzalendo kwanza vyama baadae! Kama mtu anapiga kazi vizuri basi mpeni sifa na nafasi inayomfaaa......

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “OLE SENDEKA AMSIFIA TUNDU LISSU BUNGENI..AMSHAURI RAIS JK AMPE UWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.