Home
» celebrities
» VIJAMBOZ KUTOKA INSTAGRAM:: TEAMUKWELI NA UWAZI WAJA NA MAZITO JUU YA DIAMOND,PENNY,MAWIFI,WEMA NA MAMA DIAMOND...SOMA ZAID HAPA
Sunday, March 23, 2014
VIJAMBOZ KUTOKA INSTAGRAM:: TEAMUKWELI NA UWAZI WAJA NA MAZITO JUU YA DIAMOND,PENNY,MAWIFI,WEMA NA MAMA DIAMOND...SOMA ZAID HAPA
Sunday, March 23, 2014 by Unknown
teamukwelinauwaziWatu wengine washamba sana ulisikia wapi watu wakiachana ndio hawaongei na watu wengine ... Hizo ni habari Za kizamani sana tena sana !! Hawa watu wameishi vizuri hawana matatizo na wanaelewana sasa kama dangote kaachana na penny ndio penny asiongee na esma ,halima kimwana,Queen darlin na Mama yao ?? Kwani wao waligombana nao nyie vipi kupendwa na ndugu wa mume hua ni bahati ni wachache wenye hizo bahati.. Na Pia hatujui nini kinaendelea hapo jamani sisi yetu ni macho kutazama movie ikiendelea !! Mengi yapo nyuma Ya pazia ... Ni vitu
vinaendelea hii sio movie Bali ni series ... Hawa watu au hii group yao haiongei wala kujibu kitu ni watu wanaojua wanafanya nini Halima ni rafiki mkubwa sana wa dangote kushinda hata esma dada wa dangote arafu ni kipenzi cha penniel huyo esma dada wa dangote ndio nr one kipenzi wa penny huyo Queen darlin ndio best wa penny Mama yake Naseeb ndio usiseme harafu sasa wale madansa na wapiga picha hadi madirector ni wapo na penny nikutonye tu esma anaishi na penny ile Nyumba ni dangote kailipia Sisi tunasubiri next season Ya hiyo series.. Kwani unafikiri nini si nini tu huyo wema mbona hapelekwi huko kwenye hizo shughul basi kama sio mapenzi Ya biashara ni nini ??! Tunajua dangote yupo njiani kuachia nyimbo yake Mpya na tunaisubiri wema aendelee kupeperusha kibendera maana ndio msukule wa dangote hapo alipo ni zezeta...

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “VIJAMBOZ KUTOKA INSTAGRAM:: TEAMUKWELI NA UWAZI WAJA NA MAZITO JUU YA DIAMOND,PENNY,MAWIFI,WEMA NA MAMA DIAMOND...SOMA ZAID HAPA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.