Friday, March 14, 2014

WEMA NA DIAMOND HAPATOSHI YADAIWA WAZICHAPA KISA VICTORIA KIMANI


Inasemekana lakini ....Habari kutoka Segment ya U-Heard ya Sudi Brown wa Clouds FM imehabarisha kuwa Wema na Diamond Jana walikwaruzana baada ya Wema kuhisi kuwa Diamond anatoka na Mwanamuziki wa Kenya Victoria kimani ..hii ilitokea Diamond na Victoria walipokuwa Studio wakifanya wimbo inasemekana Diamond hakumwaga Bi Wema , Wema aliona tu kwenye Instagram kuwa mida hiyo Diamond yupo na Victoria ndio ikabidi awafungie Safari na kuzua Timbwili la haja , Inaonekana Wema aliona Wivu baada ya kuwa na Tetesi kuwa Diamond anatoka na Mwanadada huyu kutoka Kenya...

Tags:

0 Responses to “WEMA NA DIAMOND HAPATOSHI YADAIWA WAZICHAPA KISA VICTORIA KIMANI ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI