Sunday, March 23, 2014

WEMA SEPETU JIPANGE:: DIAMOND PLATNUMZ KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM AFUNGUKA NA KUSEMA BAADA YA VIJANA WAKE KUFANYA YAO SASA ZAMU YAKE KUFYATUA COPY ...UNAJUA COPY ZIP??? SOMA ZAID HAPA






diamondplatnumzLeo tulikuwa tunamtoa mtoto wetu mwingine toka kwa bwana #Moze_Iyobo na bi #Mwengi.... Eeh! Mwenyezi Mungu, wajaalie na hawa vijana wawili walio baki @emma_platnum na @tonser66wamalize haraka nao, ili Mtu mzima sasa nianze kufyatua copy zangu ��.. �������� au mda wangu Bado???






DIAMOND PLATNUMZ AMEFUNGUKA HAYO MWENYEWE SASA KAZI KWENU MASHABIKI KUSUBIRI ATAKUA NI BABA NANI NA NANI ATAKUWA MAMA WATOTO WAKE, TUKAE MKAO WA KULA

Tags:

0 Responses to “WEMA SEPETU JIPANGE:: DIAMOND PLATNUMZ KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM AFUNGUKA NA KUSEMA BAADA YA VIJANA WAKE KUFANYA YAO SASA ZAMU YAKE KUFYATUA COPY ...UNAJUA COPY ZIP??? SOMA ZAID HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI