Sunday, July 7, 2013
UMAARUFU WA WASANII WENGI WA KIKE UNATOKANA NA SKENDO ZA PICHA CHAFU
Sunday, July 7, 2013 by Unknown
NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo.
Pamoja na sheria kutoruhusu, wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuusaka umaarufu wa kujulikana kwa jamii kwa njia za panya,....
Wengi wao wamepoteza sifa za uwajibikaji na badala yake wamejikita katika Skendo chafu ili jamii iwajue...
Hali hii imewafanya wasanii wengi wa kike wawe na umaarufu wa skendo chafu....
Miongoni mwa skendo hizo ni:
1.Kupiga picha za uchiHili ni kundi la wasanii chipukizi wanaosaka umaarufu kwa gharama yoyote....Ni skendo ambayo huwachafua sana, lakini pia ni skendo ambayo huwainua na kuwafanya wajulikane....
Mfano halisi wa wasanii wa kundi hili ni Rayuu,Agness Masogange, Lulu Michael,Pendo wa Maisha plus
Pendo Moshi
2.Kutumia madawa ya kulevyaHili ni kundi la wasanii ambao hutumia madawa ya kulevya na kisha hukimbilia katika vyombo vya habari na kujitangaza kwamba ni wavuta bangi na kwamba "hivi sasa wameacha"
3.Kuvaa nusu uchiHili ni kundi lenye wasanii wengi sana.Hawa ni wasanii wenye imani ya kuwa mastaa kwa kuvaa nusu uchi huku mapaja na matiti yao yakiwa wazi ...
Wahanga wa kundi hili ni wasanii wa kike ambao sote tunawajua.
4.Kutovaa chupi na kujipitisha mbele ya kameraHili ni kundi la wasanii wachache ambao umaarufu wao umekwisha.Ili kujiinua tena kwa jamii, wasanii hawa hutumia skendo nzito kama hizi ambazo huifanya jamii istuke..!...Mfano halisi ni Nakaaya.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “UMAARUFU WA WASANII WENGI WA KIKE UNATOKANA NA SKENDO ZA PICHA CHAFU ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.