Sunday, March 24, 2013

CHADEMA NA POLISI WAKUBALIANA KUSITISHA MAANDAMANO






CHADEMA wamekubalina na Jeshi la Polisi Tanzania kusitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike kesho tarehe 25/03 kushinikiza kujiuzulu kwa Mawaziri wa Elimu.

Upande wa CHADEMA kwenye mazungumzo hayo umewakilishwa na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe na ule wa polisi umewakilishwa na IGP Said Mwema. Pande mbili zimeafikiana kukutana tena ndani ya siku 14 kwa ajili ya kuboresha mahusiano ya pande mbili.

Tags: ,

0 Responses to “ CHADEMA NA POLISI WAKUBALIANA KUSITISHA MAANDAMANO”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI