Friday, March 22, 2013

DIAMOND AMSAIDIA MADEE KUTAFUTA ALIEKUNYWA POMBE YAKE



Diamond ni mmoja kati ya wasanii watakao onekana kwenye video ya wimbo mpya wa Madee "pombe yangu" iliyofanyika tarehe 19 mwezi huu, chini ya Director Adama Juma. kwenye picha hizo pia wameonekana Ngwea na Darasa wakishow love kwenye video hiyo.







Tags: ,

0 Responses to “DIAMOND AMSAIDIA MADEE KUTAFUTA ALIEKUNYWA POMBE YAKE ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI