Friday, March 22, 2013
PROFESA NA MWANDISHI WA VITABU "CHINUA ACHEBE" AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 82
Friday, March 22, 2013 by Unknown
Nigeria yampoteza mtu muhimu sana
Chinua Achebe, mwandishi wa vitabu, mwana mashairi anaejulikana sana Africa kutokana na kazi zake, hasa kitabu kilichompa umaarufu sana "Things Fall Apart" amefariki dunia. Chinua amefariki jana usiku akiwa na umri wa miaka 82, katika hospitali iliyoko Boston, Massachuttes, USA.
Premium Times imeripoti kuwa Professor Achebe amekuwa akiugua kwa mda mrefu ugonjwa ambao haukuzungumziwa. Chebe alikua ni mwandishi wa vitabu vilivyompa umaarufu na vilivyoleta mapinduzi katika elimu ni pamoja na Arrow of God, No Longer at Ease, Anthills of the Savannah, na A man of the People na kupokea tuzo mbali mbali za kitaifa kwa kazi zake.
Kitabu chake cha hivi karibuni ni "There was a county" ikiwa ni autobiography ya uzoefu wake na maoni yake juu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “PROFESA NA MWANDISHI WA VITABU "CHINUA ACHEBE" AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 82 ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.