Wednesday, March 27, 2013
JAHAZI WAFANYA MAKAMUZI YA NGUVU DAR LIVE USIKU WA KUAMKIA LEO
Wednesday, March 27, 2013 by Unknown
Mzee Yusuf ‘Mfalme’ akicheza kiduku na shabiki aliyepanda jukwaani.
WAPENZI wa muziki wa mwambao usiku wa kuamkia leo walipata burudani ya aina yake ndani ya Dar Live wakati kundi la Jahazi Modern Taarab chini ya Mfalme Mzee Yusuf lililopokuwa likiporomosha burudani. Katika shoo hiyo, dada mmoja ambaye hakujulikana jina lake mara moja alikuwa kivutio ukumbini hapo kwa burudani aliyoitoa sambamba na wanamuziki wa Jahazi. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyochukua nafasi ndani ya ukumbi huo wa maraha uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Shabiki akiwapa raha wapenzi wa burudani.
Nyomi ikiwa imepagawa na midundo ya Jahazi ndani ya Dar Live.
Tags:
burudani

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “JAHAZI WAFANYA MAKAMUZI YA NGUVU DAR LIVE USIKU WA KUAMKIA LEO ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.