Home
» kitaifa
» Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Alipokutana Kwa Mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping
Wednesday, March 27, 2013
Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Alipokutana Kwa Mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping
Wednesday, March 27, 2013 by Unknown
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Xi Jinping walipokutana kwa mazungumzo maalum katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Mhe. Rais Xi hapa nchini.
Mhe. Mkapa akimtambulisha kwa Mhe. Rais Xi Jinping, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Mhe. Rais Xi Jinping akisalimiana na Balozi Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa huku Mhe. Mkapa akishuhudia.
Mhe. Xi Jinping akisalimiana na Balozi Celestine Mushy, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kabla ya kuanza kwa mazungumzo kati ya Mhe. Mkapa na Rais huyo.
Ujumbe uliofuatana na Mhe. Mkapa alipokutana kwa mazungumzo na Mhe. Rais Xi Jinping wa China.Picha Zote na Tagie Daisy Mwakawago-Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Tags:
kimataifa ,
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Alipokutana Kwa Mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.