Wednesday, March 13, 2013

Mamia Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe Mjini Musoma



Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (MB) akiihutubia Mkutano wa hadhara wa Chama hicho Mjini Musoma Mkoani Mara.
Sehemu ya Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo 




Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (MB) jana alihutubia Mkutano wa hadhara wa Chama hicho Mjini Musoma Mkoani Mara. Mbali na Mbowe pia viongozi wengine akiwepo Mbunge wa Musoma pia alihutubia mkutano huo.

Tags:

0 Responses to “ Mamia Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe Mjini Musoma”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI