Wednesday, March 13, 2013
BREAKING NEWS:PAPA MPYA APATIKANA ONA HAPA.
Wednesday, March 13, 2013 by Unknown
Makardinali wamemchagua Baba Mtakatifu mpya kuliongoza Kanisa Katoliki katika karne hii ya 21. Vilio vya furaha vilitawala wakati moshi mweupe ulipoonekana kwenye anga la Vatican City muda mchache uliopita. Jina halijatangazwa bado; Papa mpya anatarajiwa kubariki umati uliokusanyika St. Peter's Square dakika 20-30 zijazo.
CREDIT-MWANANCHI

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ BREAKING NEWS:PAPA MPYA APATIKANA ONA HAPA.”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.