Wednesday, March 13, 2013

MCHAKATO WA UCHAGUZI WA PAPA (CONCLAVE)







Makadinali 115 leo wanaanza mchakato wa kupiga kura ya kumchagua kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani katika ukumbi wa ndani kwenye makao makuu ya Kanisa Katoliki, Vatican.

Katika kipindi hiki cha sala hakuna Papa aliewahi kuchaguliwa baada ya kura ya kwanza kupigwa.

Makadinali hao watapiga kura za siri hadi mara nne kila siku mpaka Papa mpya atakapochaguliwa.

Tags:

1 Responses to “MCHAKATO WA UCHAGUZI WA PAPA (CONCLAVE)”

MATANANA CITY said...
March 14, 2013 at 12:00 AM

Mhuuu ahsante mungu


Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI