Tuesday, March 12, 2013

MSHINDI WA NNE WA DSTV REWARDS AKABIDHIWA KITITA CHAKE


Mshindi wa nne wa DStv Rewards Bwana Edward Hiza Mhina (katikati) akipotea hundi ya shilingi milioni tano (5,000,000/=). Kulia ni Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi na Meneja wa Fedha wa kampuni hiyo, Francis Senguji. DStv inatoa kila wiki Tshs 5,000,000 kwa wateja wake ambao watalipia malipo ya mwezi ya akaunti zao za DStv kabla ya kukatika.

Tags: ,

0 Responses to “MSHINDI WA NNE WA DSTV REWARDS AKABIDHIWA KITITA CHAKE”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI