Monday, March 18, 2013

WAKAZI WA ARUSHA WAPOKEA KWA FURAHA UJIO WA TUSKER LITE




Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi kielezea wadau jinsi bia ya Tusker Lite ilivyotengenezwa kwa vimelea asili na yenye wanga kidogo sana katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.Wadau wa bia ya Tusker Lite na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakionyesha furaha na kuipokea bia ya Tusker Lite a kugonganisha chupa kwjijini Arusha katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.Nakaaya Sumari akifurahia jambo na MC katika hafla hiyo.Mama akifurahia zawadi ya glass za Tusker Lite baada ya kuibuka mshindi wa kucheza muziki katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.JCB akitoa shukrani zake kwa Kampuni ya bia ya Serengeti kwa kuleta bia nzuri ya Tusker Lite katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.Mama akishindana na nyaki kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.p0[pMmoja wa wageni waalikwa ambaye mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya jijini Arusha anayejulikana kwa jina la ”Mkoloni” akitoa neno lake kuonyesha hisia kuhusu ujio wa bia ya Tusker Lite, kushoto na JBC,na kulia mwisho ni Nakaaya Sumari katika katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti wakishindana kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia ya Tusker Lite uliofanyika ka katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.

Tags:

0 Responses to “WAKAZI WA ARUSHA WAPOKEA KWA FURAHA UJIO WA TUSKER LITE ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI