Monday, March 18, 2013
SHINDANO LA ‘MORO CARNIVAL’ MKOMBOZI WA VIJANA WENYE VIPAJI MJINI MOROGORO
Monday, March 18, 2013 by Unknown
Kijana Mafuvu akionyesha umahili wake wa kucheza katika Shindano la Moro Carnival ambalo lilikuwa likiwapambanisha vijana wa mji wa Morogoro kuonyesha vipaji vyao mbali mbali. Shindano hilo lililofanyika katika uwanja wa Sabasaba mjini Morogoro, Moro Carnival lengo lake ni kuvumbua vipaji wa kuwashindanisha na kuviendeleza vipaji kwa vijana wa mji wa Morogoro. Vipaji vilivyokuwa vikitafutwa ni vya kudansi, kuimba, wasanii wa muziki wa Hip Hop, Uchekeshaji n.k.
Watu waliojitokeza katika shindano hilo wakifuatatilia kwa makini mchuano.
Majaji wa Shindano la Moro Carnival lililofanyika katika uwanja wa sabasaba, kutoka kulia ni Frado John, Msanii wa Muziki wa bongofleva Seleman Msindi ‘Afande Sele’, Wiliam Matajiri pamoja na mwanadada Adela Tilya.
Jaji nambali moja Frado John akitoa makisi kwa mshiriki wa shindano la Moro Carnival.
Jaji nambali mbili Seleman Msindi ‘Afande Sele’ akitoa makisi kwa mshiriki.
Mshiriki wa muziki wa hip hop, akionyesha makali yake ya kuchana wakati wa shindano la Shindano la Moro Carnival lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Morogoro.
Tags:
burudani

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “SHINDANO LA ‘MORO CARNIVAL’ MKOMBOZI WA VIJANA WENYE VIPAJI MJINI MOROGORO ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.