Sunday, March 24, 2013
Ziara ya Wabunge vijana wa Bunge la Tanzania nchini India
Sunday, March 24, 2013 by Unknown
Mbunge wa Kigamboni Mhe. Dkt Faustine Ndugulile yupo nchini India akiliwakilisha Bunge la Tanzania kwenye kongamano la Wabunge vijana toka Bara la Afrika lililoandaliwa na Serikali ya India. Wabunge wengine toka Tanzania ni Mhe. Namelok Sokoine(MB) na Mhe. Saidi Mussa Zuberi (MB). Jumla ya nchi 19 za Bara la Afrika zinashiriki kwenye kongamano hili lililoanza tarehe 16.03.2013.Pichani, Mhe. Ndugulile(MB) na Wabunge toka Mali na Ethiopia.Picha na Habar na Dr Faustine Ndugulile

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Ziara ya Wabunge vijana wa Bunge la Tanzania nchini India ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.