Home
» kitaifa
» Aliyekuwa Mhasibu katika Ofisi ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali,Godfrey Mbwilo Apandishwea Kizimbani Kwa tuhuma za wizi wa Sh150 milioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Friday, April 12, 2013
Aliyekuwa Mhasibu katika Ofisi ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali,Godfrey Mbwilo Apandishwea Kizimbani Kwa tuhuma za wizi wa Sh150 milioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Friday, April 12, 2013 by Unknown
Aliyekuwa Mhasibu katika ofisi ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali, Godfrey Mbwilo (katikati) akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi akipelekwa kizimbani kwa tuhuma za wizi wa Sh150 milioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana.Picha na Venance Nestory.
--
Aliyekuwa mfanyakazi wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Godfrey Mbwilo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na tuhuma za wizi wa Sh153 milioni.
Akisoma hati ya mashtaka jana mbele ya Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando, Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumain Kweka alidai kuwa mshtakiwa huyo alisomewa mashtaka jana mbele ya Hakimu Mkazi Augustina Mmbando na Wakili wa Serikali Tumaini Kweka alidai kuwa mshtakiwa alifanya makosa hayo kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu.
Kweka alidai kuwa Agosti 2, 2011 katika ofisi za Mkemia Mkuu wa Serikali, akiwa mtumishi wa umma aliiba Sh40 milioni mali ya Serikali zilizofika kwake kulingana na nafasi yake ya ajira.
Katika shtaka la pili, Kweka alidai kuwa Septemba 5,mwaka huo katika ofisi hizo aliiba Sh45 milioni mali ya Serikali zilizofika kwake kulingana na nafasi yake ya ajira.Kwa Habari zaidi Bofya na Endelea.....>>>>>
Tags:
kitaifa
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Aliyekuwa Mhasibu katika Ofisi ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali,Godfrey Mbwilo Apandishwea Kizimbani Kwa tuhuma za wizi wa Sh150 milioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.